15Kg Chrome Dumbbell Set @7.5

150,000 /=

Ni Set nzuri sana na unaweza ku adjust uzito kulingana na fitness level yako. Pia unaweza kusafiri nayo kwa kuwa inabebeka kirahisi,kwani ina plastic case yake maalum kwa ajili ya kuhifadhi. Si ya kukosa nyumbani hii.

York Chrome Dumbbell Set With Soft Coated Handle 15KG 8 x 1.25kg Dumbbell plates4 x 0.5kg Dumbbell plates2 x 1.5 kg Handle bars