Huna haja ya kuwa na mawazo mengi pindi umeme unapokatika,au unapokuwa sehemu zisizo na umeme au safari camp au beach n.k Taa hii inakufaa sana kwa kuwa pia ni VIP.quality size na inakaa ktk mkoba wako bila shaka.
-Maximum usage charge of 10H
-Adjustable button for light (dim-high)
-Easy to carry and handle/holdon walls
-Very bright
-Convinient