Retail Price | Wholesale Price |
---|---|
55,000 /= | 45,000 /= |
Model hii ya Smart Watch inauwezo wa kupima mapigo ya moyo na inauwezo wakukusanya riport ya ufanyaji wako wa mazoezi kama umbali gani umekimbia ni saa flani hivi smart sana yenye uwezo wakufanya kazi nyingi na unaipata kwa bei rahisi