Motorcycle Protective Face Goggle Mask

40,000 /=

The item is a perfect protection for you face at the same time keeping fashion and makes you look good

Motorbike Sport And Protective goggle Mask is good for motorbike,Bicycle,skydiving and horse riders

Ni nzuri na inafiti katika Helment zote zisizo na kioo.

Lakini pia unaweza kuitumia bila Helment 


✅Inahifadhi Macho yako kutokana na vumbi na upepo.

✅Ina Filter inayochuja hewa safi unayovuta

✅Ina valve inayoruhusu pumzi unayotoa kutoka nje kwa urahisi

✅Ni detachable unaweza kutenganisha katikati ukatumia miwani pekee

✅Ina sponge laini lisiloumiza uso wako ukiwa umevaa. 

Ni miongoni mwa bidhaa inayokwisha kwa haraka sana sokoni.

Wahi mapema ujipatie yako